Tel: 061 261 57 67
Warenkorb
Ihr Warenkorb ist leer.
Gesamt
0,00 CHF

Siri sirini - Mtihani wa Mwanamke

Angebote / Angebote:

Subiri kidogo! Mwana sikumwua...lakini Anadhani nilimwua! Ni lazima nimpunguzie Mwanao mpendwa... si ndiye aliyeua mwanangu...? Kisha wote wawili kinyama chembe ya mbawazi?! Ulimtuma wewe huo, sivyo? Sema ukweli! Ulitaka mwanao vyovyote vile, sivyo?"... Akazidi kushindilia ncha ya jambia mpaka ikachubuka na ki tone kimojakimoja kudondoka. Mwanalibasi sasa akalia . "Unataka kujua aliyemwua mwanao? miye na tayari wewe mwenyewe wamjua Enhee, naona umeshamtambua, na utambuzi ndipo! Si mwingine, kama mimi na wewe ila yeye huyo mwanga wenu! Wewe amekuulia mimi aliniulia mume wangu na mwanangu mwenzio.... "Wi¿...hebu nitazame. Mimi huyu hapa wi yako...umri ndio huo, mbele wasonga, nyuma haurudi, sina mume, sina nini, na kuolewa tena kwangu ni muhali! Siri Sirini: Mtihani wa Mwanamke (Kitabu cha 3) ni riwaya ya mwisho katika msururu wa riwaya tatu za Siri Sirini. Ni üchuzi wa siri iliyotanda katika kitabi cha 1 na cha 2. Rocha M. Chimerah atakuja kuvunja rekodi na kuweka historia katika riwaya ya Kiswahili. Ukisoma msururu wa Siri Sirini: Kitabu cha 1 hadi cha 3 utaäkiana na kauli hii! Chapa ya Longhorn Publishers 'Subiri kidogo! Mwana sikumwua...lakini mamake hajui! Anadhani nilimwua! Ni lazima nimpunguzie simanzi!' ... Mwanao mpendwa... si ndiye aliyeua mume wangu na mwanangu...? Kisha wote wawili kinyama kabisa, bila hata chembe ya mbawazi?! Ulimtuma wewe kutekeleza uovu huo, sivyo? Sema ukweli! Ulitaka mwanao atawale kwa vyovyote vile, sivyo?"... Akazidi kushindilia ncha ya jambia mpaka ngozi ya Malkia ikachubuka na kitone kimojakimoja cha damu kuanza kudondoka. Mwanalibasi sasa akalia kwa nguvu. . . . "Unataka kujua aliyemwua mwanao? Ya nini kukwambia miye na tayari wewe mwenyewe wamjua barabara ? . . . Enhee, naona umeshamtambua, na utambuzi wako umesibu ndipo! Si mwingine, kama mimi na wewe tunavyofahamu, ila yeye huyo mwanga wenu! Wewe amekuulia mwanao... mimi aliniulia mume wangu na mwanangu pia, nipe pole mwenzio.... "Wi¿...hebu nitazame. Mimi huyu hapa wi yako...umri ndio huo, mbele wasonga, nyuma haurudi, sina mume, sina nini, na kuolewa tena kwangu ni muhali! Siri Sirini: Mtihani wa Mwanamke (Kitabu cha 3) ni riwaya ya mwisho katika msururu wa riwaya tatu za Siri Sirini. Ni üchuzi wa siri iliyotanda katika kitabi cha 1 na cha 2. Rocha M. Chimerah atakuja kuvunja rekodi na kuweka historia katika riwaya ya Kiswahili. Ukisoma msururu wa Siri Sirini: Kitabu cha 1 hadi cha 3 utaäkiana na kauli hii!
Folgt in ca. 10 Arbeitstagen

Preis

39,90 CHF

Artikel, die Sie kürzlich angesehen haben