Tel: 061 261 57 67
Warenkorb
Ihr Warenkorb ist leer.
Gesamt
0,00 CHF

Mhanga Nafsi Yangu

Angebote / Angebote:

Katika Mhanga Nafsi Yangu tunachorewa dunia iliyoharibiwamtu achote riziki yake. Kwa hivyo utabiri wa wahenga unathibitikana kukamilika.nchi na watu wake kwenda kuishi na kutafuta riziki yake Peponi.Anahajiri na kuishi Peponi kwa sababu kwao hakuna maishaShangazi yake aliyemfanyia wema wa kumleta Peponi ndiyewalizonazo wenyeji kuhusu wageni - hasa wageni weusi, yanaonekana ni mazingira ya ubaguzi na udhalilishaji! Hatimayematumaini ya Peponi yanageuka kuwa balaa. Kwa hivyo viapovya mapenzi vinasahauliwa, ahadi za kusaidia ukoo zinavunjwa, matumaini mema yanakatikakatika, uvumilivu haupo tena, anapotambua kwamba nafsi ya mtu huweza kutolewa mhangakwa matarajio ambayo tokea mwanzo hayakuwa na msimamo.
Folgt in ca. 15 Arbeitstagen

Preis

40,90 CHF

Artikel, die Sie kürzlich angesehen haben