Tel: 061 261 57 67
Warenkorb
Ihr Warenkorb ist leer.
Gesamt
0,00 CHF

Kimya Kimya Kimya

Angebote / Angebote:

Mvutano baina ya Kulia na Kushoto umekuwa mzito. Mbelehawaendi, nyuma hawaendi, kulia na kushoto hawaendi. Kushotoanataka kwenda kulia, hawezi. Kulia anataka kwenda kushoto, nayehawezi pia. Kwa kuelekezana migongo na kuvutana pande zote, hawaendi popote. Kushoto analalama, "Mbona siendi mbele?Najitahidi, najivuta, najisukuma lakini..." Kumbe sababu ya hayayote ni kimya!Hali hii itabadilika pale tu watakapokaa kimya, na wakiruhusu kimyakusema. Mpaka pale, mdogo atamfundisha mkubwa kusema polepole. Mpaka pale ulimi ulioganda kwenye baraza la kinywautakapoganduka. Hapo ndipo kimya kitasema na kitasema kimyakimya kwa sauti kubwa kama ya Yoo.
Folgt in ca. 15 Arbeitstagen

Preis

28,90 CHF